Wasanii wa Kikundi cha Mehdi Qamoum kutoka Nchini Morocco wakitowa burudani katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar wakati wa Onesho la Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar, lililofanyika Zanzibar kuazia 13 Feb hadi 16 , 2020. na kushirikisha Vikundi mbalimbali vya Wasanii kutoka Zanzibar na nje ya Zanzibar.
DK.MWINYI AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 29
-
MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),
ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.
Dkt. Hu...
54 minutes ago
No comments:
Post a Comment