Habari za Punde

Waziri Mwakyembe akutana na wawekezaji katika Sekta ya Michezo kutoka Misri

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akizungumza jambo kwa Balozi wa Misri Nchini Tanzania, Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa na ugeni wake kutoka Misri walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.
Wageni Kutoka Misri wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.
Mwakilishi wa Kampuni kubwa ya Michezo ya Maccasa Sports akizungumza jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe,walipokutana leo Jijini Dar es Salaam, ambapo wawekezaji wa sekta ya Michezo kutoka Misri wanatarajia kujenga sehemu kubwa ya Michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa Nchini.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akiteta Jambo na Mkurugenzi wa Michezo Yusuph Singo, walipokutana na Ugeni kutoka Misri ukiongozwa na Balozi wa Misri Nchini Tanzania Mhe. Mohamed Gaber Abulwafa Leo Februari 25, 2020 Jijini Dar es Salaam.

Picha na Idara ya Habari-MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.