Habari za Punde

Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun: Waziri Kiongozi wa kwanza Ramadhan Haji Faki afariki dunia leo Dar

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wakiupakia Mwili wa Marehemu Ramadhan Haji Faki ukipakiwa katika Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dar es Salaam kuelekea Zanzibar kwa taratibu za maziko.Marehemu Ramadhani Haji Faki Brigedia Jenerali Mstaaf na Waziri Kiongozi wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Aliekuwa waziri kiongozi wa kwanza Zanzibar, Marehemu Ramadhan Haji Faki ambae alikuwa akiugua kwa muda mrefu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.