Uimarishaji wa miundombinu ya barabara katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar na vitongoji vyake, moja ya Mradi wa barabara ya Fuoni hadi Maungani inayyojengwa kwa kiwango cha lami.
Ujunzi wake ukianzia katika eneo la Fuoni kwa uwekaji wa kifusi kama inavyoonekana pichani ikiwa katika hatua ya mwabnzo ya uwekaji wa kifusi na kumalizia kwa lami.
No comments:
Post a Comment