Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali Azindua Chumvi ya ZALT (Zanzibar Salt With a Story)Zanzibar Uliofanyika Katika Mgahawa wa 6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.

Waziri wa Biashara na Viwanda ZanzibarMhe. Balozi Amina Salum Ali akizindua Bidhaa ya Chumvi ya ZALT. inayozalishwa na Kampuni ya Swahili Coast Salt Zanzibar. akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo.Bi.Stephanie Said, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika Mgahawa wa 6 Degress South Shangani Jijini Zanzibar.   

Mkurugenzi wa Kampuni ya Swahil Coast Salt Zanzibar.Bi. Stephanie Said akitowa maelezo ya kitaalam ya uzalishaji wa chumvi hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanywa na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Balozi Amina Salum Ali.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika mgahawa wa 6 Degress South Shangani Jijini Zanzibar jana usiku.
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chumvi ya ZALT (Zanzibar Salt With a Story) inayotengenezwa na Kampuni ya Swahili Coast Salt, hafla hiyo imefanyika katika mgahawa wa 6 Degress South Shangani Jijini Zanzibar jana usiku.13/3/2020.

Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzu wa Chumvi ya ZALT (Zanzibar Salt With a Story) wakimsikiliza mgeni rasmin Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe,. Balozi.Amina Salum Ali.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi wa bidhaa hiyo ulifanyika katika mgahawa wa 6 Degress South Shangani Jijini Zanzibar jana usiku.

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Swahili Caost Salt.Bi. Stephanies Said, akitowa maelezo ya bidhaa hiyo ya chumvi ZALT wakati akitembelea maonesho hayo baada ya kuizindua rasmin jana usiku 13/3/2020,katika mgahawa wa 6 Degress South Shangani Jijini Zanzibar. 
Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akiwa na kiwa na kifuko cha chumvi ya ZALT baada ya kuizindua (kulia) Mkurugenzi wa Kampuni ya Swahili Caost Salt.Bi. Stephanies Said, akitowa maelezo ya bidhaa hiyo ya chumvi ZALT wakati akitembelea maonesho hayo baada ya kuizindua rasmin jana usiku 13/3/2020,katika mgahawa wa 6 Degress South Shangani Jijini Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.