Habari za Punde

SIMBACHAWENE AWAAPISHA WATUMISHI WANNE WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI, UHAMIAJI NA MAGEREZA NA KUONGOZA KIKAO CHA TUME HIYO JIJINI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi,Uhamiaji na Magereza,George Simbachawene akimuapisha Mrakibu Ali Juma Abdulkadir(kushoto) kuwa mtumishi wa tume hiyo kabla ya kuanza kwa kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara hiyo,Mtumba jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi,Uhamiaji na Magereza,George Simbachawene akimuapisha Naibu Kamishna Anthon Rutashubulugukwa(kushoto) kuwa mtumishi wa tume hiyo kabla ya kuanza kwa kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara hiyo,Mtumba jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi,Uhamiaji na Magereza,George Simbachawene akimuapisha Mrakibu Msaidizi,Nicodemus Tenga(kushoto)kuwa mtumishi wa tume hiyo kabla ya kuanza kwa kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara hiyo,Mtumba jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi,Uhamiaji na Magereza,George Simbachawene akimuapisha Afisa Utawala Mkuu,Erick Mbembati (kushoto), kuwa mtumishi wa tume hiyo kabla ya kuanza kwa kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara hiyo,Mtumba jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Uhamiaji na Magereza, George Simbachawene (katikati), Naibu Waziri wa wizara hiyo ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Christopher Kadio(kushoto), wakiongoza kikao cha tume hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.