Habari za Punde

Kamishna CP Liberatus Sanas Aendelea na Ukaguzi wa Mpaka wa Tanzania na Msumbiji Hasa Katika Vipenyo na Njia Zisizo Rasmin Wanazotumia Wananchi wa Msumbiji Kuingia Tanzania.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiteta jambo na Mzee Abdul mkazi wa Kijiji cha Ndondo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wakati akiendelea na Operesheni ya ukaguzi wa mpaka kati ya Tanzania  na Msumbiji.    
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiwa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi SACP Mihayo Msikhela pamoja na maofisa, wakaguzi na askari wakikagua njia inayotumiwa na wananchi wa Msumbiji kuingia Nchini bila yakuwa na vibali maalum.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas, akiwa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi SACP Mihayo Msikhela pamoja na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kwaajili ya kukagua moja ya  kipenyo kisicho rasmi cha mto Chiwindi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma kinachounganisha Tanzania na Msumbiji

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi La Polisi CP Liberatus Sabas wa pili kutoka kulia na wa watu toka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Godfrey Wetson Zambi, wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Polisi baada ya kumalizika kikao mapema jana.
(Picha na Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.