Habari za Punde

Wananchi Wanaoingia Mkoa wa Kusini Unguja Hupimwa Joto la Mwili Wakati Wakiingia Katika Mkoa huo Wakitokea Mjini Unguja.

Maofisa wa Afya Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakiwapima Joto la Mwili kwa wananchi wanaoingia katika Mkoa wa Kusini Unguja ili kujikinga na maambukizo ya Ugonjwa wa Corona, wanaotoka nje ya Mkoa huo kama walivyokutwa na Kamera yake wakiwa katika zoezi hilo katika eneo la Mwera. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.