Habari za Punde

Samaki anavyokuwa dili mwezi mtukufu wa Ramadhaan BIASHARA ya Samaki katika mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni mashuhuri kwa ajili ya kupata kitoeleo cha Futari, pichani baadhi ya wananchi wa Chake Chake wakinunua samaki kwa mmoja wa wachuuzi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.