Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt.
Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere pamoja na
viongozi wengine wakati wa wimbo wa Taifa.
Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa
ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya
Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi
ya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment