Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA NA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE DKT. KIKWETE WAIFARIJI FAMILIA YA NKURUNZIZA BURUNDI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo nyumbani kwa marehemu Rais  Pierre Nkurunziza wa Burundi wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Nkurunziza  Jijini Bujumbura Nchini Burundi jana jioni kwa ajili ya kuitembelea na kuifariji familia akiwemo mjane na watoto wa marehemu ambapo amemuomba Mwenyezi Mungu kuwapa uvumilivu na kuwa na subira katika kipindi hiki cha maombolezo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.