Habari za Punde

Mwanachama wa Tatu wa CCM Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi.

Mgombeac Urais wa Zanzibar kupitia CCM Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi akiononesha kabrasha lake likiwa na Fomu za kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhi kwa hatua nyengine za ujazaji wa fomu hiyo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, akiwa ni Mwanachama wa Tatu wa CCM Kujitokeza kuwania nafasi hiyo ya Urais  kutoka CCM.  

Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg Galos Nyimbo akimkabidha Fomu ya Kugombea Urasi kupitia CCM Mwanancha Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi, hafla hiyo ya Uchukuaji wa fomu hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg Galos Nyimbo akimkabidha Fomu ya Kugombea Urasi kupitia CCM Mwanancha Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi, hafla hiyo ya Uchukuaji wa fomu hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia CCM Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi akisaini kitabu cha Wagombea Nafasi ya Urais CCM baada ya kuwasili katika Ofisi ya Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar wakati wa zoezi la uchukuaji wa Fomu za Urais wa Zanzibar kupitia CCM.
KATIBU wa Idara ya Oganizesheni CCM Zanzibar Ndg Galos Nyimbo akimkabidhi risiti ya malipo ya uchukuaji wa Fomu ya kugombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo.


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Ndg. Mbwana Yahya Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari nia yake vya kuchukuwa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.