Habari za Punde

CUF yampitisha Mussa Haji Kombo kuwa mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF


Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Wananchi (CUF) umempitisha Mussa Haji Kombo kuwa Mgombea wa Urais visiwani Zanzibar kwa asilimia 66 ya kura zote.

Wagombea wengine katika mchakato huo walikuwa Eng. Mohamed Habib Mnyaa aliyepata asilimia 19 za kura na Rajab Mbarouk Mohamed aliyepata asilimia 15.

Kwa upande wa Tanzania, CUF imepitisha Prof. Ibrahim Lipumba ambaye aliungwa mkono na asilimia 97% wa Wajumbe.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.