Habari za Punde

Makada wa CCM Pemba Wajitokeza Kuchukua Fomu za Kuwania Ubunge na Uwakilishi.

Mwandishi wa Habari Kisiwani Pemba Bi. Kauthar Is-haka Mzee ajitosa kugombea Ubunge Nafasi za Viti Maalum  Wanawake UWT, akikabidhiwa na Afisa wa UWT  mwenye kilemba Bi.Habiba Ali Nassor. hafla hiyo imefanyika katika Afisi za UWT Chakechake Pemba.
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Meja Mstaafu Ali Hamim Ali, akichukuwa fomu ya kugombea nafasi ya Uwakilishi jimbo la Chambani kupitia chama hicho.
Mtiania  Ubunge jimbo la Mkoani Ahmed Rajab Maalim (KIPOZI), akipokea risiti ya malipo baada ya kuchukua fomu ya kuwania kuteuliwa ubunge wa jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.