Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Jangombev Boys na Kipanga Mchezi Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu Hizo zimetoka Sare 0 -0.

Mchezaji wa Timu ya Kipanga na Jangombe Boys wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana 0-0.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.