Habari za Punde

Wagombea Ubunge Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Wakuchua Fomu za Kugombea Ubunge Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC ) leo.

Ofisa wa Msaidizi Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Bi. Hawa Seif Amour, akimkabidhi Fomu ya kugombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mfenesini Bi. Zubeida Khamis Shaibu.
Ofisa Msaidizi Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) Bi. Asha Nassib , akikabidhi Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Welezo Zanzibar Ndg. Maulid Saleh Ali, kupitia Chama Cha Mapinduzi alipofika Ofisi za Tume kuchukua Fomu leo kuwania nafasi hiyo. 
Ofisa Msaidizi  wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Tanzania (NEC ) Ndg. Hassan Ali Hassan, akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mtoni kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Abdulkhafar Idrissa Juma, alipofika Ofisi za Tume kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge.
OFISA Msaidizi Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC, Jimbo la Mwera, Mwanakombo Mwadini Sheha, akimkabidhi fomu ya kuwania uteuzi wa Ubunge Jimbo la Mwera kupitia CCM, Zahor Mohamed.
 (Picha na Abdalla Omar)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.