Muonekano wa Jengo la Kisasa la Maduka Michezani Mall Jijini Zanzibar likiwa katika hatua za mwisho umaliziaji ujenzi wake kwa ajili ya ufunguzi na kutowa huduma za kibiashara mbalimbali kwa Wananchi wanapofika katika jengo hilo litakalokuwa na maduka mbalimbali ya bidhaa tafauti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe.
Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe.
Vlad...
18 minutes ago

No comments:
Post a Comment