Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya
Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin uliowasilishwa
kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
tarehe 06 Novemba, 2025..jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa
Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe.
Vladimir Putin
mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025..jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa
Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe.
Vladimir Putin,
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025. .jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.


No comments:
Post a Comment