Habari za Punde

Wanne Wakijitokea Kuchukua Fomu ya Kugombea Uspika Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Katibu Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akimkabidhi fomu ya kugombea Uspika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu ya Uspika iliyofanyika katika Ofisi za Katibu Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo 5-11-2025
Katibu Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akimkabidhi fomu ya kugombea Uspika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Suleiman Ali Khamis kutoka Chama Cha ADC, hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu ya Uspika iliyofanyika katika Ofisi za Katibu Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo 5-11-2025.
Katibu Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akimkabidhi fomu ya kugombea Uspika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chausiku Khatib Mohammed kutoka Chama Cha  NLD , hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu ya Uspika iliyofanyika katika Ofisi za Katibu Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo 5-11-2025.
Katibu Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akitowa maelezo ya fomu ya kugombea Uspika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, baada ya kumkabidhi mgombea wa nafasi hiyo kutoka Chama Cha NLD Chausiku Khatib Mohammed ,hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu ya Uspika iliyofanyika katika Ofisi za Katibu Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo 5-11-2025.
Katibu Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem akimkabidhi fomu ya kugombea Uspika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Naima Salum Hamad kutoka Chama Cha UDP, hafla hiyo ya uchukuaji wa fomu ya Uspika iliyofanyika katika Ofisi za Katibu Jengo la Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar leo 5-11-2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.