Habari za Punde

MGOMBEA MWENZA WA CCM MAMA SAMIA AKISZLIIANA NA WANANCHI KIJIJI CHA VIKINDU

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Vikindu Wilaya ya Mkuranga alipokuwa njiani akielekea Mkuranga kwenye Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 07,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.