Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi
CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni katika Kampeni za Urais wakati
akiwa njiani kuelekea Singida mjini leo 1 Septemba, 2020.
Self microfinance kuwatoa watanzania kwenye mikopo ya kausha damu
-
Taasisi ya Self Microfinance Fund (Self Fund) imeeleza mikakati ya
kuwafikia Watanzania wengi zaidi wenye kipato cha chini wanaojishughulisha
na uzalishaji...
38 minutes ago
No comments:
Post a Comment