Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni za CCM Mgombea Mwenza wa Rais Mhe Samia Suluhu Tandahimba

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi kijiji cha Kitama kata ya Mihuta alipokuwa njiani kuelekea Tandahimba Mkoani Mtwara kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 11,2020.          No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.