Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein
mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo
tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment