WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini taarifa ya mauwaji ya askari wa vikosi vya SMZ, iliyotolewa na kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Ahmed Makaran (hayupo pichani)ofisini kwake Madungu Polisi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Upelelezi Mkoa wa Kusini Pemba Richard Tadei
Mchomvu, akizungumza na waandishi wa habari juu ya kupatikana kwa bunduki aina
ya AK47 iliyopatikana pamoja na mwili wa marehemu askari wa Vikosi vya SMZ
aliyekua ameuwawa(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Ahmed Khamis
makarani, akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kupatikana kwa bunduki
iliyokua imepotea aina ya AK47 na mwili wa marehemu askari wa vikosi vya SMZ
aliekua ameuwawa(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA).
No comments:
Post a Comment