Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mratibu wa Mradi wa ZUSP Ndg Makame Ali Makame na Mkurugenzi wa Baraza la Manispa Mjini Ndg Said Juma Hamad alipotembelea Mradi wa Kituo cha ukusanyaji wa taka kutoka Mjini kilichojengwa katika eneo la Muembemakumbi ikiwa ni Mradi wa ZUSP wakati wa ziara yake ilifanyika leo 9/12/2020.kutembelea Miradi ya ZUSP Zanzibar.
KUNAMBI ACHANGIA SH MILIONI 1.5 NA MIFUKO 50 YA SARUJI UJENZI WA VYOO NA DARASA SHULE YA MSINGI NGAI
-
Charles James, Michuzi TV
TUMUUNGE Mkono Rais Magufuli! Hii ni kauli iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo
la Mlimba, Godwin Kunambi alipofika katika Shule ya M...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment