RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye
pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.
Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba katika maendeleo ya watu hatokuwa na muhali kwani muhali ndio unaoiathiri Zanzibar.
Rais Dk. Hussein Mwinyi aliyasema hayo leo huko katika ukumbi Fidel-Castro, Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba wakati alipokuwa akitoa shukukrani kwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake pamoja na Wazee na Mabalozi wa chama hicho.
Aliwaomba viongozi hao wa CCM pamoja na wananchi wote wa Zanzibar kumvumilia ili achukue maamuzi magumu ili fedha za umma ziweze kuheshimiwa.
Katika maelezo yake, Rais Dk. Mwinyi alieleza kwamba katika uongozi wake wa Urais ndani ya mwezi mmoja na nusu tutayari amegundua kuwepo kwa ufisadi mkubwa jambo ambalo ameahidi kulifanyia kazi.
Aliwaeleza viongozi hao kwamba katika uongozi wake fedha atakazozitafuta hatokubali kuchezewa hata kidogo kwani amegombea nafasi hiyo ya Urais kwa lengo la kuwatumikia wananchi.
Alieleza dhima aliyokuwa nayo kwa Mwenyezi Mungu na kwa wananchi kwa kutekeleza aliyowaahidi na kuwataka viongozi hao kuwa tayari kwa yale yote watakayoyasikia katika kipindi hichi.
Alieleza kuwa katika kipindi hichi cha Kwanza katika uongozi wake lazima afanye maamuzi magumu na wala hana lengo la kutafuta mchawi na wala kufufua makaburi.
Aidha, alieleza kwamba katika miradi yote mikubwa iliyotekelezwa ukiwemo ule wa maendeleo ya Miji (ZUSP) ambao umegharibu Dola za Kimarekani milioni 93, miradi ya maji na miradi mengine ambayo imetumia fedha nyingi lakini matokeo yake hayaridhishi hivyo ni lazima hatua zichukuliwe juu ya ukweli wa fedha hizo.
Aliahidi kuisimamia miradi hiyo ili kuweza kupata thamani ya matumizi ya fedha zilizotumika ambazo ni nyingi na kueleza kwamba katika hatua hiyo wapo watu watakaoguswa.
Aliwaeleza viongozi hao pamoja na wananchi kwamba zile ahadi alizoziahidi katika kipindi cha Kampeni za uchaguzi zitatekelezwa kwa ustadi mkubwa.
Alisema kuwa CCM mara hii imefanya Kampeni ya kisayansi ambayo ni ya aina yake na kupelekea kupata ushindi wa kishindo,
Aliwapongeza viongozi wote wa CCM kisiwani humo kwa ushindi wa kishindo uliopatikana na chama hicho kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na viongozi hao, wana chama wa chama hicho pamoja na wananchi.
Alisisitiza kuwa rikodi iliyovunjwa ya ushindi wa kishindo uliopatikana mwaka huu hakika itavunjwa katika uchaguzi ujao wa mwaka 2025 kutokana na utendaji wa kasi utakaotekelezwa chini ya uonhozi wake.
Rais Dk.
Hussein Mwinyialiwapongezaviongoziwadinizotekwakuhubiri Amani
wakatiwotewauchaguzinakupelekeazoezihilokwendavizurinakuletamafanikiomakubwa.
AlielezakuwamaendeleoyanchiyoyotehayawezikuaptikanakamaamanihaiponakuelezakuwabaadayauchaguziSerikaliyaUmojawaKitaifaimeundwakwalengo
la kuletaumojahasakatikakuletamaendeleokwanikuwepokwamaendeleonilazimawatuwotewaunganenakuwawamoja.
AlielezakuwawakatiumefikawakujenganchinakuwatakawanaCCMkukubalianakuwakitukimojanakuondokananamalumbanoyakisiasanabadalayakekuendeleanakazimojatuyakuileteanchimaendeleo.
Rais Dk.
Hussein
MwinyialielezakuwavitabuvyotevyadinivilivyoteremshwanaMwenyeziMunguvimeelezeaumoja,
hivyokunakilasababuyakuhimizaumojamingonimwawananachi.
AlielezakuwakuwepokwaamanikutapelekeawepesikatikakuletamaendeleonandiomaanawakatiwauchaguzikatikakampenizakealizozifanyaUngujana
Pemba alihubiriamani.
AlisisitizakwambakazikubwailiyobakihivisasanikutekelezaIlaniyaUchaguziwa
CCM yamwaka 2020-2025 sambambanaahadizotealizoziahidiwakatiwaKampenizauchaguzi.
Rais Dk.
Mwinyialielezadhamirayakeyakutekelezaahadizotealizoziahidikwawananchi.
Katikahotubayakehiyokwaviongozihaowa
CCM, Rais Dk. MwinyialielezakuwaameundaSerikaliilikuhakikisha wale
wotealiowateuawanatekelezavyemamajukumuyao.
Sambambanahayo,
Rais Dk. Mwinyialiwatakaviongoziwa CCM
kuendeleakuendeleakutekelezamajukumuyaoipasavyokwanibadowanadhimayakumsaidianakusimamiayaleyoteanayoyatekeleza.
Pia,
alitumiafursahiyokuwatakawaandishiwahabarikwendavijijinikutafutachangamotozawananchihukuakielezakuwaWabunge,
Wawakilishi, madiwani,
Masheanaviongoziwenginenaopiawanadhimayakufanyahivyoilikuwatumikiawananchi.
Alielezaazmayakukifanyakisiwa
cha Pemba kuwasehemumaalumyauwekezajihukuakiwalelezaviongozihaokwambalengonikuhakikishamaendeleoyoteyanayopatikanaUngujanivyemayakapatikanana
Pemba.
Alisisitizakwambahatuahiyoyakukifanyakisiwacha
Pemba kuwasehemuyauwekezajipia,
itasaidiakatikakupataajirakwaniyajayoyanafurahisha.
NaeNaibuKatibuMkuuwa
CCM Zanzibar AbdallahJumaMabodiakimkaribishaRais Dk. Hussein
Mwinyikatikamkutanohuoaliwapongezaviongozihaowa CCM
kwakazinzuriwaliyoifanyayakuhakikishawanakipaushindiwakishindochamachao cha CCM
kisiwanihumo.
MapemawakitoasalamuzaoviongozihaowalimpongezaRais
Dk. Hussein Mwinyikwakuwajalinakuwathaminikutokananaziarayakehiyoyakwendakuwapashukuraninakuwapongezakwaushindimkubwawachamachaokiswanihumo.
ViongozihaowalielezakuwaushindiuliopatikanamwakahuukatikauchaguzimkuuniwakihistoriahasakatikaMkoawaowaKusini
Pemba ambapo CCM imepataushindiwaWadizote
19, WabungeMajimbo 9 UwakilishinaUbungeMajimbo 7 pamoja
nakupatanafasineynginezikiwemozavitimaalum.
WalipongezahotubayakeyaBaraza
la Wawakilishi, hotubaaliyoitoasikualiyowapishaMawaziri pamoja
nailehotubaaloyoitoasikuyakuwapishaWakuuwaMikoa.
Alipongeaushindialioupatawaasilimia
79.27 ambaotokeakuanzawkamfumowavyamavingihaujawahikupatikanakisiwanihumo.
Rais Dk.
Hussein Mwinyialipatamapokezimakubwakutokakwaviongozi pamoja
nawanaCCMwakisiwani Pemba marabaadayakuwasilikatikauwanjawandegewa Pemba.
Rajab
Mkasaba, Ikulu Zanzibar
Postal Address: 2422 Tel.:0777427449. Fax: 024
2231822
E-mail:
rajabmkasaba@yahoo.co.uk
No comments:
Post a Comment