Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi ya Welezo Zanzibar Wamefanya Ziara ya Kimasomo Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Raya Issa Mselem akisalimiana na Wanafunzi wa Skuli ya Chekechea ya Welezo Jijini Zanzibaer walipofa ziara ya kimasomo katika kutembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupata maelezo ya uendeshaji wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi ya Welezo Jijini Zanzibar, wakati wa ziara yao ya kimasomo kutembelea Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.