Habari za Punde

Hoteli za Ocean Paradise na Tui Blue in Zanzibar zaungua moto leo

Mmiliki wa Hoteli akiongea na Waziri wa Utalii na mambo ya kale  Laila Mohammed na pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini Sadifa Juma

Mpiga picha maarufu na mdau wa Utalii Javed Jafferji pia alifika hotgelini hapo kujionea mwenyewe uharibifu uliosababishwa na moto ambae ametujuulisha kwamba wageni wote wameondolewa na kupelekwa hoteli nyengine kuhifadhiwa.

Bado haijajulikana hasara iliyopatikana baada ya kuungua kwa hoteli

Sehemu ya hoteli ikiendelea kuungua
Mabaki ya Hoteli yakionekana baada ya kuteketea kwa moto leo hii
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.