Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup Kati ya Timu ya Mlandege na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya 0-0.

Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akimpita beki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika jana usiki Timu hizi zimetoka sare ya bila kufungano. 
Beki wa Timu ya Mlandege akimpita mchezaji wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana mchezo uliofanyika jana usiku.
Mchezaji wa Timu ya Mlandege akijaribu kumpita  beki wa Timu ya Malindi wakati wa mchezo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika jana usiku katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.