Habari za Punde

Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Amekifungua Chuo Cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar.

Rais Mstaafu wa awamu ya Saba Dkt,Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Simai Mohamed Saidi mara baada ya kuwasili katika hafla ya Ufunguzi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya Saba Dkt,Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

Rais Mstaafu wa awamu ya Saba Dkt,Ali Mohamed Shein akipata Maelezo kutoka kwa Afisa Mapokezi Khumayraa Maulid Juma wakati akitembelea maeneo mbalimbali ya Chuo cha Utalii Baada ya kukifungua aruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali   Mhe,Simai Mohamed Saidi akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeno Rasmi  katika hafla ya Ufunguzi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

Rais Mstaafu wa awamu ya Saba Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa Hotuba katika  Ufunguzi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUIF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.