Habari za Punde

Innalilahi Wainna ilaihi Rajiun Dkt.Mohammed Seif Khatib.

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar anasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar.
 Dkt.  Mohd Seif Khatib kilichotokea leo hospital ya Al rahma habari ziwafikie wafanyakazi wote wa Wizara ya Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, wafanyakazi wote wa Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na  Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA), Wajumbe wote wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, Wahadhiri na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, wapenzi na wadau wa Kiswahili popote pale walipo,  WANACHAMA WA Vyama vya Kiswahili na kila anaehusika na Msiba huu maziko yatakuwa kesho saa 4 asubuhi maiti ataondokea mpendae na kuzikwa Umbuji.

Innalilahi Wainnailaihi Rajiun
Allah amsamehe mwenzetu makosa yake yote nasi atupe mwisho mwema. AMIIN
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.