Habari za Punde

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mbunge wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Khamis Hamza Chilo Akitumia Baskeli Kuwafikia Wananchi wa Jimbo Lake.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo  akiwasili katika Kijiji cha Bambi kilichopo katika Shehia ya Kijibwemtu, wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja leo kwa ziara ya kikazi ikiwemo kusikiliza kero za wananchi akitumia usafiri wa baiskeli ili kuweza kuwafikia wananchi waliopo maeneo ya ndani.

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.