RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari
katika mkutano wake, kuzungumzia mafanikio ya Siku Mia Moja za Uongozi wake Zanzibar baada ya kuchaguliwa kuiongoza Zanzibar, mkutano huo uliofanyika leo 9-2-2021 katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
BAADHI
ya Wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani)
akizungumza katika mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali uliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Mkurugenzi
Mkuu wa Channel Ten Jaffar Hanui kushoto) ( na (kulia) Mkurugenzi Mtendaji Mkuu
wa Kampuni ya Uhuru Media Group ltd Bw. Ernest
Sungura, wakifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wahariri
wa Vyombo vya habari mbalimbali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MHARIRI
Mtendaji wa gazeti la Nipashe Bi. Beatrice Bandawe na Mhariri wa Clouds Media
Joyce Shebe. wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupom pichani) akizungumza na
waandishi wa habari katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI
ya Wahariri wa vyombo vya habari wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani)
akizungumza katika mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali uliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akifuatilia maswali yakiulizwa na Wahariri na Waandishi wa habari wakati wa
mkutano wake na Waandishi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI
wa Habari wa Redio One na ITV Farouk Karim akiuliza swali kuhusiana na utaratibu
wa kuajiriwa Wafanyakazi katika Taasisi za Serikali, wakati wa mkutano huo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI
na Mpiga picha wa Gazeti la Nipashe Ndg.Suleiman Mpochi akiuliza swali kuhusiana
na uwajibikaji katika Serikali, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI
Mwandamizi Zanzibar Bw. Salim Said Salim akiuliza swali kuhusiana na ugawaji wa
viwanja kwa wakubwa kujilimbikizia katika maeneo mbalimbali na kuachwa wananchi
kupatiwa viwanja hivyo, wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWENYEKITI
wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile akiuliza swali wakati wa
mkutano wa Wahariri na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MWANDISHI
wa habari wa ZBC TV Ndg. Abubakar Harith akiuliza swali kuhusiana na utaratibu
wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali na usafi wa maeneo ya Zanzibar, wakati wa
mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliowajumuisha Wahariri na Waandishi wa
habari wa vyombo mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWANDISHI
wa habari wa Star Tv Ndg. Abdalla Pandu akiuliza swali kuhusiana na ukusanyaji
wa mapato kuna baadhi ya taasisi hutoza kwa pesa za kigeni (Dola) wakati wa
mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar
MWANDISHI
wa Gazeti la Nipashe Ndg. Sanura akisisitiza jamba wakati akiuliza swali katika
mkutano wa Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyomba mbalimbali na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MHARIRI
Mtendaji wa Gazeti la Nipashe Bi.Beatrice Bandawe, akiuliza swali wakati wa
mkutano huo wa Wahariri na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, wakati wa
mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akijibu na kutowa maelezo ya maswali ya Waandishi wa habari na Wahariri wakati wa mkutano wake kuelezea mafanikio ya Siku Mia Moja za Uongozi wake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAANDISHI
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar na Tanzania bara wakifuatilia
mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar
WAANDISHI
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar na Tanzania bara wakifuatilia
mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar
WAANDISHI
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya Zanzibar na Tanzania bara wakifuatilia
mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa
vyombo mbalimbali baada ya kumaliza mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar

No comments:
Post a Comment