Habari za Punde

Habari za hivi punde: Mtu mmoja afariki kwenye msafara wa Makamu wa Pili wa Rais


Marehemu Khamis Ali Khamis (Machenga )Mfanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika Kitengo cha Waandishi wa habari kipaza sauti. amefariki dunia leo akiwa katika msafara wa Makamu wa Pili wa Rais, wakiwa katika msafara wakielekea Mkoa wa Kusini Unguja katika ziara ya kikazi leo

Wamepata ajali katika eneo la Kitogani Wilaya ya Kusini Unguja wakati wakielekea Kusini katika ziara,

Waliojeruhiwa katika ajali hiyo Mpiga Picha Ndg. Hassan Issa na Kassim Abdi na watu wengi  wanapatiwa matibabu katika hospitali ya mnazi mmoja Jijini Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.