Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge Jijini Dodoma na (kushoto kwake) Afisa Mkuu Wateja na Binafsi na Biashara NMB Bw.Filbert Mponzi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akipiga makofi kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma na (kushoto kwake) Afisa Mkuu Wateja na Binafsi na Biashara NMB Bw.Filbert Mponzi. Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akifuatilia hutuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la Jahmuri ya Muungano wa Tanzania katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma na (kushoto kwake) Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara NMB Filbert Mponzi, wakiwa katika ukumbi wa Bunge. wakati wa hafla hiyo iliofanyika 22-4-2021.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akiwa na Maofisa wa NMB wakipata futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, baada ya kumaliza hutuba yake kulihutubia Bunge Jijini Dodoma na (kulia kwake) Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati. Nsolo Mlozi na (kushoto kwake) Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara NMB. Filbert Mponzi, wakiwa katika Viwanja vya Bunge Dodoma wakapata futari.
No comments:
Post a Comment