Naibu Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa , Amani Msuya akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi lililofanyika jijini Dodoma.Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Emmanuel Kayuni akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Fedha na Usimamizi wa Miradi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Jenitha Ndone akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Joseph Ngatunga akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment