Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Timu ya Majadiliano ya Tanzania na Uganda.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Uganda na Kampuni za Uwekezaji katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga. Mhe. Rais Samia amekutana na Timu hii Ikulu jijini Dodoma

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.