MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia
ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, akiwapungia mkono na kuwasalimia
WanaChama wa CCM alipowasili
katika viwanja Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Kichama, akiwa katika ziara
yake kuzungumza na Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM na kutowa shukrani zake
kwa Viongozi hao
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia
ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa amesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Amaan CCM Mkoa, akiwa
katika ziara yake ya Kichama kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa CCM, na
(kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na
(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Kichama Ndg.Mohammed
Rajab Soud.
BAADHI ya Viongozi wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja
Kichama wakiwa wamesimama wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae
pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa mkutano wa Afisi ya CCM Mkoa
wa Mjini Amaan, akiwa katika ziara yake kuzungumza na Viongozi na Mabalozi wa
CCM na kutowa shukrani zake kwa Viongozi hao
BAADHI ya Mabalozi na Viongozi wa CCM Mkoa wa
Magharibi Kichama wakiwa wamesimama wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa
mkutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara
yake katika Mkoa huo.
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa CCM
Mkoa wa Magharibi Kichama Ndg. Mgeni Mussa Haji.(hayupo pichani) akiwasilisha
salamu za Mkoa katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM
Amaa Mkoa, akiwa katika ziara yake katika Mkoa huo.
KIONGOZI wa CCM kutoka Jimbo la Bububu Bi.
Mwanajuma Mashaka akichangia na kuwasilisha kero zake wakati wa mkutano na
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiwa katika
ziara yake katika Mkoa wa Magharibi Kichama, mkutano uliofanyika katika ukumbi
wa Afisi ya CCM Mkoa Amaan Jijini Zanzibar.
KIONGOZI wa CCM Jimbo la Fuoni Zanzibar Ndg.Juma
Mohammed Ahmed akizungumza katika hafla
ya mkutano wa Viongozi na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Magharibi Kichama, wakati
wa ziara ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) mkutano huo
umefanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Jijini Zanzibar
KIONGOZI wa CCM Jimbo la Welezo Ndg.Ramadhani
Ali Juma akizungumza katika hafla ya mkutano wa Viongozi na Mabalozi wa
CCM wa Mkoa wa Magharibi Kichama, wakati wa ziara ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu
ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini
Amaan Jijini Zanzibar
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa Magharibi Kichama wakati wa ziara yake kuzungumza na Viongozi hao na kutowa shukrani zake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Afisi ya Mkoa wa Mjini Amaan Jijini Zanzibar.
VIONGOZI wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa
Magharibi Unguja Kichana wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Tanzania ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao wakati
wa ziara yake na kutowa shukrani kwa Viongozi hao katika mkutano uliofanyika
katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Jijini Zanzibar
VIONGOZI wa CCM na Mabalozi wa CCM wa Mkoa wa
Magharibi Unguja Kichana wakimsikiliza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Tanzania ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao wakati
wa ziara yake na kutowa shukrani kwa Viongozi hao katika mkutano uliofanyika
katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment