Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho IKulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho akiwa na Mkewe. Majda Sakho,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yalionyika katika ukumbi wa Ikulu leo 1-6-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza. Mamadou Sakho akiwa na mkewe Majda Sakho, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho akiwa na mkewe Majda Sakho, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana mgeni wake mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.