Habari za Punde

Kutoka Baraza la wawakilishi Leo


 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdullah akitoa maelekezo kwa Mwakilishi wa Jimbo la mwera Mhe Mihayo Juma Nhunga nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani mara baada ya kuahirishwa kikao.

Waziri wa elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe Simai Mohammed Said akijibu suala lililoulizwa na mwakilishi wa Jimbo la Kwahani mhe Yahya Rashid Abdulla kuhusu ushirikishwaji wa wananchi kutoa maoni yao katika kuandaliwa kwa sera mpya ya elimu ya mwaka 2020 kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani
Mwakilishi wa Jimbo la Dimani Mhe Mwanaasha Khamis Juma akiuliza suali kuhusu mpango wa Serikali katika kuwasaidia wavuvi wa Dimani kwa kuwapatia vifaa vya kisasa ili kuongeza kipato na kunufaika na uchumi wa buluu leo kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.