Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Maputo Nchini Msumbiji Kuhudhuria Mkutano wa SADC.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassanakisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC utakaofanyika kesho tarehe 23 Juni, 2021.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.