Habari za Punde

Siku ya mtoto wa Afrika kuadhimishwa Jumamosi 15/06/21


Mkurugenzi wa Idara ya Jinsia na Watoto Nasima Haji Chum akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na Waandishi wa Habari  kuhusiana na siku ya Mtoto wa Afrika ambayo itafikia kilele chake siku ya Jumamosi na Ujumbe wa mwaka huu ni Tutekeleze ajenda 2040 kwa Afrika inayolinda haki za Mtoto hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Jijini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.