Habari za Punde

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid Ameyafungua Mashindano wa Mbio za Baskeli Kuadhimisha Siku Mia za Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid mwenye Treki suti la njano akifungua mashindano ya mbio za Baskeli Zanzibar, yalioandaliwa na Vijana wa Friends Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Siku Mia za Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. 

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akijumuika katika mashindano ya Baskeli baada ya kufungua,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea kuadhimisha Siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan , tangu kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Sita Tanzania.. yalioandaliwa na Vijana wa Friends Mwinyi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.