Habari za Punde

Ufunguzi wa Kikao cha Mashauriano,Maarifa na Ueledi Kukuza Demokrasia ya Vyama Vingivya Siasa.

MKURUGENZI Mtendaji na Mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Tanzania Mzee Joseph Warioba Butiku, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Mashauriano ya kubalishana ujuzi, maarifa na weledi wa kiuongozi katika kukuza Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini, kikao kilichofanyika Mjini Chake Chake
MKURUGENZI wa Friedrich Ebert Stiftung(FES)Tanzania Elizabeth Bollrich, akitoa maelezo juu ya malengo ya taasisi hiyo wakati wa kikao cha Mashauriano ya kubalishana ujuzi, maarifa na weledi wa kiuongozi katika kukuza Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini, kikao kilichofanyika Mjini Chake Chake
NAIBU Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Profesa Francis Matambalya, akiwasilisha mamba wakati wa kikao cha Mashauriano ya kubalishana ujuzi, maarifa na weledi wa kiuongozi katika kukuza Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini, kikao kilichofanyika Mjini Chake Chake.
AFISA Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalumu za SMZ, Thabit Othman Abdalla akichangia mada ya Pili, katika kikao cha Mashauriano ya kubalishana ujuzi, maarifa na weledi wa kiuongozi katika kukuza Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini, kikao kilichofanyika Mjini Chake Chake

MRAJIS wa Jumuia zisizo za Kiserikali Zanzibar Ahmed Khalid Abdull, akizungumza wakati wam kikao cha Mashauriano ya kubalishana ujuzi, maarifa na weledi wa kiuongozi katika kukuza Demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini, kikao kilichofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.