Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano Kuazia 2021/2022 – 2025/2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 29, 2021.
Waziri Mkuu.Mhe.Kassim Majaliwa akikata utepe wakati akizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 29, 2021. Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni na kulia ni Spika wa Bunge, Job Nduga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha vitabu vya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026 baada ya kuzindua mpango huo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 29, 2021. Kutoka kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni kitabu cha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026 baada ya kuzindua mpango huo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi  Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete kitabu cha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026 baada ya kuzindua mpango huo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Cpt. Mst. George Mkuchika kitabu cha Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026 kwa niaba ya Mawaziri wengine, baada ya kuzindua mpango huo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

 Baadhi ya Washiriki wa Hafla ya  uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022-2025/2026 wakimsilikiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 29, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.