Habari za Punde

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Akitowa Mkono wa Pole Kwa Mjane Aliyefiwa na Mumuwe Kada wa CCM Mwakaleli Mkoani Mbeya.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akimpa pole Tumpale Kilasi kwa msiba wa Mume wake aliyekuwa Kada wa CCM Asifiwe Brown Mwanjisi aliyefariki dunia jana Mwakaleli Kandete, Busokelo wilaya ya Rungwe. Shaka alifika kutoa pole akiwa katika siku ya pili ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na Sekretarieti ya CCM mkoani Mbeya leo Julai 12, 2021
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.