CHUO CHA MAENDELEO DUNGA kinawataarifu watu wote kuwa Chuo kimeanza kutoa kozi ya UALIMU wa maandalizi na msingi awali NGAZI YA CHETI kwa MKUPUO wa 2021/2022. Fomu zinapatikana chuoni dunga.
Sifa za kujiunga:-
*Muombaji awe Mtanzania.
*Awe na chetu cha FORM FOUR chenye alama angalau 4.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0778695459/0776228888.
Chuo kipo wilaya ya kati Zanzibar.
Bei zetu ni nafuu sana. Karibuni nyote
Chuo chetu kinakuwa na usajili wa mara ngan kwa mwaka
ReplyDelete