Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip
Isdor Mpango akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa kituo cha
kupoza umeme wa mradi wa njia kuu ya umeme wa kilo voti 132 unaotoka Tabora kwenda Kigoma katika eneo la
Nguruka Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip
Isdor Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali mara alipowasili katika eneo la
Nguruka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma kuweka jiwe la msingi mradi wa Njia Kuu ya Umeme
kutoka Tabora kwenda Kigoma.
MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Philip
IsdorMpangoAkipokeamaelezoyamradikutokakwaMenejawamradiwaNjiawanjiakuuyakusambazaumemewakilovoti
132 kutokaTabora – Kigoma MhandisiNeemaMushiwakatiwauwekajijiwe la msingi la
ujenziwamradihuo.
MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Philip
IsdorMpangoakizungumzanawananchiwa Kigoma eneo la
NgurukaWilayayaUvinzamarabaadayakuwekajiwe la msingi la
ujenziwaMradiwanjiakuuyakusambazaumemewakilovoti 132 kutokaTaborakwenda KigomaJ
No comments:
Post a Comment