Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt.Omar Dadi Shajak  kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Nd,Khadija Khamis Rajab  kuwa Katibu Mkuu, Anayeshuhulikia masuala ya (Kazi na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt. Habiba Hassan  Omar  kuwa Katibu Mkuu,  Anayeshuhulikia masuala ya (Uchumi  na Uwekezaji) katika Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji  hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Dkt. Fatma Marisho   kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto katika   hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Khamis Kona  Khamis  kuwa Mkurugenzi wa Uchauzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mwanasheria Mkuu Dkt.Mwinyi Talib Haji wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa havi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati yake ya kiapo Dkt.Fatma Haji Hafidh Mrisho, baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Khamis Kona Khamis kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 2/8/2021,Jijini Zanzibar.
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakifatilia hafla ya kuapishwa kwa Viongozi walioteuliwa hivi karibu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 
BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na Viongozi wa Dini wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Viongozi wa Serikali walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.