MKUU wa WIlaya ya Micheweni Mohamed Mussa Seif
(Mkobani) kulia, akizungumza na watendaji kutoka Wilaya ya Wete akiwemo Mkuu wa
Wilaya hiyo Mgeni Khatib Yahaya, wakisubiri kukabidhiwa vifaa mbali mbali vya
wajasiriamali wa Uchoraji na Uchongaji kutoka Wizara ya Habari Vijana Utamaduni
na Michezo Zanzibar.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya Vifaa vilivyokabidhiwa kwa wakuuu wa
Wilaya nne za Pemba,kwa vikundi mbali mbali vya vijana wanaojishuhulisha na
Uchongaji na uchomaji, hafla ya makabidhiano iliyofanyika Gombani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na
Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab (kushoto), akimkabidhi Vifaa mbali mbali vya
Uchongaji na uchomaji Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mohamed Mussa Seif, kwa ajjili
ya Vikundi vya Vijana vya Wilaya hiyo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment